Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
TumeshafuzuSipunguzi mpaka mtakapofuzu hatua ya makundi.
TumeshafuzuSipunguzi mpaka mtakapofuzu hatua ya makundi.
Makundi tufuzu mara ngapi? Tulishafuzu first leg, sisi sio nyinyi mpaka mbistiweSipunguzi mpaka mtakapofuzu hatua ya makundi.
Mtafuzu jioni baada ya dakika 90 kutamatika. Hivyo kuweni wapole.Makundi tufuzu mara ngapi? Tulishafuzu first leg, sisi sio nyinyi mpaka mbistiwe
Kama unadhani bado, basi bet NzingiziniMtafuzu jioni baada ya dakika 90 kutamatika. Hivyo kuweni wapole.
Nibet na wakati mna uhakika wa kupewa Kirikuu iliyojaa maburungutu ya magoli ya mama! Nasikia Mtu wenu mmoja kaomba kabisa kwa Gerson Msigwa aje na Kirikuu iliyojaa hela! Halafu Mwasibu utakuwa uwanjani unapepesa tu macho na kutikisa masikio kwa furaha.Kama unadhani bado, basi bet Nzingizini
Always love you SIMBA 💪🏿Next Match : Simba SC vs Nsingizini hotspurs.
View attachment 3493500
Starting Xl ya Simba SC
View attachment 3493959
All the best Simba SC 🦁
#Nguvu moja.
Mpaka sasa sijaelewa why morice na ahou wanacheza pamoja.Mechi mbovu kama nini
Bora nisubiri El Clasico tu
Ubovu wa mechi umetokana na nini? Mpinzani ni mbovu? Au Simba inacheza mpira mbovu? Elezea kidogo, maana wengine hatujapata bahati ya kuangalia mechi tupo kwenye usafiri.Mechi mbovu kama nini
Bora nisubiri El Clasico tu