feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 9,024
- 18,683
Mmoja inabidi atoke ,,,kiukweli hii timu bado kuna wachezaji hawako siriazi watapelekea kuharibu wenzao.Mpaka sasa sijaelewa why morice na ahou wanacheza pamoja.
Mmoja inabidi atoke ,,,kiukweli hii timu bado kuna wachezaji hawako siriazi watapelekea kuharibu wenzao.Mpaka sasa sijaelewa why morice na ahou wanacheza pamoja.
Kawaida yenu.Tunacheza hovyo
BangiKawaida yenu.
Bado hujasemaBangi
Wachezaji wana relax kwa kiburi cha aggregate.Ubovu wa mechi umetokana na nini? Mpinzani ni mbovu? Au Simba inacheza mpira mbovu? Elezea kidogo, maana wengine hatujapata bahati ya kuangalia mechi tupo kwenye usafiri.
Labda ngeli sio heri....na ikawe heri kwa simba sc.
Hii bangi uliovuta sijui ya wapi hii?Goooooooooooool
Nsingizini wanapata bao la kupindua meza hapa
Nsingizini 3
Simba 3
Zimebakia dakika ngapi mpira uishe? Azam alikula 35M fasta yaan juziMpira mbovu. Ila usiniulize ubovu wakw nini. Mi sijui. Utakuwa mzuri tu Simba wakifungwa.
😂😂😂😂😂Nsingizini shabiki kindakindaki nipo hapa
Ft Simba 0
Nsingizini 4