ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Hamna uwezo huo mnaodhani mnaoHawa Ihefu tunawaheshimu ila leo wamedandia mtumbwi wa vibwengo...
Hatuna huruma nao....
Kanoute ni uchafu mido wa kizama he preferred to be a fullback02' Ni Free Kick kuelekea Ihefu FC, inapigwa kulee lakini Kanoute kichwa chake anatoa nje na kuwa goal kick
Hakuna kikosi apoSIMBA WENZANGU UBINGWA WA NBC PREMIER LEAGUE TUTAENDELEA KUUSIKIA TU.
Kibendera imebidi amwambie refa kuwa ni njeRefa katoa boko huku