Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Bila kutafuta kocha mwingine simba haina kitu. Kocha hana mbinu anabebwa na uwezo binafsi wa wachezaji. Pengo la chama linaonekana. Kocha alitakiwa kutengeneza mbadala. Unapata ushindi wa taabu kwa timu inayoburuza mkia hiyo maana yake timu yako haiko vizuri.
sasa unawezaje kupita akati watu wanacheza 9 nyuma ya mpira kipindi chote..ila watu wengine mpira mmeujulia uzeeni ndo tatizo,watu wakipaki basi njia pekee ya goli ni kitumia mipira ya kutenga tu na uwezo binafsi hakuna namna