FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

Kama kweli unatazama mechi za Simba vizuri kabisa na unaujua mpira sidhani kama utamlaumu kocha, kazi yake anaifanya vizuri kwa 100%. Changamoto pale ni eneo la mwisho kwenye ufungaji hakuna utulivu na wote wanaopewa nafasi ya kucheza pale mbele hawajafit kabisa. Ukitaka kumlaumu Mgunda jiulize kwanza timu aliikuta katika hali gani na je wale wachezaji yeye ndio alipendekeza wasajiliwe?!!
 
Nilikuwa napiga stori na shabiki mmoja wa Simba anasema hii timu Mungda imemshinda

Hapo ni baada ya kupata sare na Singida

Nikamuambia nipe sababu, akasema kwanza jinsi anavyomuona tu ni kama hana Quality ya kuhudumu kwenye timu kubwa kama ile

Nikamuuliza kwa hiyo hadhi ya Mgunda ndio sababu ya kupata sare ya leo?

Nikamuambia ile mechi dakika za mwanzoni Simba ilicheza hovyo na mimi sikupendezewa kuona namna jinsi wachezaji hawajitumi kwa asilimia zote

Na kosa lililofanyika mpaka kupelekea Singida wapate bao la kuongoza, lilitokana na Enonga kufanya uzembe wa kucheza na mpira

Sasa hapo Mgunda anahusika vipi?

Haya kipindi cha pili Simba ilipiga mpira mwingi tukatengeneza nafasi nyingi lakini mwisho wa siku Kibu alikosa magoli zaidi ya matatu, hapo utamlaumu Mgunda kwa lipi?
 
Hata ukirejea kutazama baadh ya mechi mfano vs Yanga, Azam, hao Singida na hata Mtibwa pamoja na kuwa walifungwa goli 5 lakini nafasi nyingi za kufunga magoli zilitengenezwa kwenye mechi zote hizo lakini washambulizi wanakosa umakini kabisa.. hii sio shida ya Mgunda amemuamini na kumpa nafasi kila mchezaji pale.. Wakati wake wa kulaumiwa apewe timu asajili silaha zake za maangamizi ashindwe ndio tuje kumlaumu hapa..
 
Hili niliwahi kulizungumza hadi kwa mashabiki wa Yanga ambao walikuwa wanaona ule mfululizo wa kutoa sare kwenye mechi za kimataifa shida ni kocha

Niliwakumbusha kuwa katika mechi yao na Zalan, Mayele alikosa magoli mengi ya wazi katika kipindi cha kwanza.

Lakini mechi ilivyomalizika kwa kufunga hattrick hakuna yeyote aliyeongelea zile nafasi alizokuwa anakosa kwasababu matokeo ya mwisho ni Yanga kashinda

Mechi waliotoa sare na Al Hilal bado Mayele alikuwa anakosa mabao ya wazi lakini, walipopata sare mashabiki walihamishia hasira zao kwa kocha

Wakati kilichokuwa kinaonekana uwanjani ni spirit ya wachezaji kwenye kujituma na kuipambania timu ilikuwa very low

Ukiwa na uongozi wenye watu wa mawazo kama haya ya mashabiki basi hatuwezi kufika mbali kwasbabu kila mechi tutayopoteza basi tutakuwa tunakazi ya kubadilisha makocha
 
Na bahati mbaya viongozi wengi wa hizi timu wana mawazo ya kishabiki kama hayo na ndio mana mpira wetu unapata tabu sana kusonga mbele. Leo huko duniani Man City kapigwa na kumuacha Arsenal kubaki kileleni na watu wenye weledi na taaluma zao huwaoni wakitapatapa tazama hapa sasa Simba imeshinda leo kwenye mechi ngumu sana anatoka mtu anamlaumu kocha mara ooh timu inashika mkia tunashindaje goli moja sijui mara wametusumbua wanashindwa kuelewa hii ndio football.
 
FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC
Naaam mpira umekwishaaaaaa ambapo Simba SC wanaibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Ihefu FC.
90+3' kuelekea kumalizika kwa mchezo, Ihefu FC wanajitahidi kadri ya uwezo kutafuta bao, lakini muda mchache sana.

89' Akpan ameingia kuchukua nafasi ya MTUWilliam anaingia kuchukua nafasi ya Wadada
85' Sakho anafanya Kazi nzuri lakini, Simba wanashindwa kumalizika nafasi ile.

81' Kanoute anaonyeshwa Kadi ya Njano kwa mchezo mbaya.
78' Kissu yupo chini akipatiwa matibabu, anatolewa nje, mpira unaendelea
72' Ihefu FC wanapata Kona ambayo haikuzaa bao, inaokolewa na Henock
67' Ssituba anaonyeshwa Kadi ya Njano kwa kumchezea madhambi Kibu, ni faulo kuelekea Ihefu FC anapiga Kapombe, Kanoute anapiga kichwa njee.

63' [emoji460] SAKHO GOOOOOOOOOOOOOAAAL GOOAL, Pepe Sakho anaandika bao la kwanza kwa Simba SC

59' Ametoka Kyombo na ameingia Kibu.
57''Wadada anapiga Krosi lakini golikipa Manula anadaka bila wasiwasi
54' Sakho anafanya faulo, anaonywa na mwamuzi.
Tigere na Tshihimbi wanakwenda benchi na wameingia John na Kitenga.

Simba wameanza kwa kasi kipindi hiki cha pili kutafuta bao
49' Kyombo anakosa nafasi nzuri ya kufunga shuti lake linatoka sentimita chache ya lango la Ihefu
47' Kipindi cha pili kimeanza huku Simba wakifanya majaribio lakini Hussein anashindwa kuunganisha kichwa cha Phiri.

45+1' Kuelekea kuwa mapumziko.
Naaam mpira ni mapumziko na hakuna Timu imeona lango la mwenzake.
30’ Kipa wa Ihefu ameumia mchezo umesimama kwa muda, ameinuka mpira unaendelea

26' Simba SC wanapata faulo kwa mara nyingine, anapiga Okrah lakini anakosa nafasi nzuri ya kufunga.

Ni mpira wa kutengwa tena kuelekea Ihefu FC, Refa aliamuru mkwaju wa penalty, lakini alipata usaidizi wa mwamuzi wa pembeni.. Phiri anapiga shutii njee!

Simba wanapata Free Kick, anakwenda kupiga Okrah, anapiga shutii lakini linababatiza msitu wa mabeki.

15’ Simba wanaongeza mashambulizi lakini Ihefu wanakuwa wagumu kulinda lango lao
10’ Kasi ya mchezo inazidi kuongezeka huku kila timu ikijaribu kutafuta bao.
06' Simba wanaendelea kujipanga kwa pasi kadhaa huku wakitafuta mpenyezo nyuma ya mabeki.

04' Mchezo umesimama kwa muda, kiungo Tshishimbi wa Ihefu ameumia
03' Timu zinasomana, Simba wanapanga mashambulizi

00' Mchezo umeanza kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba SC 0-0 Ihefu FC

View attachment 2414692
Kikosi cha Ihefu dhidi ya Simba, leo Jumamosi Novemba 12, 2022

View attachment 2414664
Kikosi cha Simba kinachoanza mchezo wa leo Novemba 12, 2022
dhidi ya Ihefu FC, Uwanja wa Benjamin Mkapa

==============

Kama si Patashika basi ni Mbiringe ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kuvurumishwa leo Jumamosi ya November 12, 2022 ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC[emoji881] yupo tayari kuwakabili vilivyo Ihefu FC kwenye Uwanja wa Stade de Benjamin Mkapa[emoji2522] Jijini Dar es salaam.

Haya ndo maneno ya Makocha wa Timu zote mbili wanaelezea utayari wao namna watakavyozipambania alama tatu muhimu za Ligi Kuu Tanzania Bara

Kocha Mkuu wa Simba SC Juma Mgunda amesema haya kuelekea mchezo huo muhimu.

Tunajua kesho (leo) tuna mchezo muhimu sana, maandalizi yapo vizuri na tupo tayari kupambana na Ihefu FC". Amesema Mgunda Gerdiola.

Kocha Msaidizi wa Ihefu FC Themi Felix amesema haya kuelekea mchezo huo muhimu.

Tupo tayari kwa mchezo dhidi ya Simba SC, ni kweli tupo mwisho na tuna mechi ngumu kesho (leo) lakini ukiangalia michezo yetu ya mwisho kuna mabadiliko". Amesema Themi Felix

Je..Nani mwenye mbinu Mujaarabu kwenye mawindo yake ya kuzipambania alama tatu muhimu? Ngoja Tusubiri Kuona Ndani ya Dakika 90 za Jasho na Damu.

Kumbuka mchezo ni kuanzia saa[emoji354] 1:00 Usiku.. Usikose Ukaadithiwa Yaani.

Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
japo simba imeshinda lakini bado inaitaji marekebisho mengi sana
 
japo simba imeshinda lakini bado inaitaji marekebisho mengi sana
Viongozi wapo hadhiri (wanakusikia). Sehemu gani kwa mtazamo wako ambayo unaona pafanyiwe marekebisho..! Nguvu Moja [emoji881]
 
Viongozi wapo hadhiri (wanakusikia). Sehemu gani kwa mtazamo wako ambayo unaona pafanyiwe marekebisho..! Nguvu Moja [emoji881]
Sasa hivi tuna majeruhi wengi karibu I kila mechi tuna majeruhi hatuna kocha wa mazoezi hii inaweza kuwa sababu inayochangia
 
Ungeweka hela sasa

Na usikute uliibetia Simba ila huku mtandaoni ukija unavimba kudai kuipinga wakati mlo wako wa kesho umesababishwa na Simba

Unasema wabovu at the same time unaogopa kutia mzigo?

Umecheza mechi ngapi mpaka unaongoza ligi?

Na huyo unayemtambia, amecheza mechi ngapi?
Mnapoint zetu tatu mzunguko ujao msipo sajiri January
 
Sasa hivi tuna majeruhi wengi karibu I kila mechi tuna majeruhi hatuna kocha wa mazoezi hii inaweza kuwa sababu inayochangia
Kuna mambo Simba SC wanatakiwa kupambana kwa haraka na si kuchelewa kufanya hasa kuhusu haya ya Kocha wa mazoezi na Kocha wa makipa.

Okrah amerudi game ya Jana baada ya kutoka kwenye majeraha. Mchezo uliopita Peter Banda licha ya kufunga bao ameliumia. Jana Sakho ameumia na wapo wengine akina Okwa, Jimmy, Israel.

Na bado tunasisitiza kwa Viongozi Usajili unaofuata dirishani dogo uwe wa kiwango.
 
Tusisingizie kuwa tatizo ni kocha wa viungo

Simba haina kocha atayetusaidia.
Hawa waliopo wanabahatisha
 
Back
Top Bottom