FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

Tusisingizie kuwa tatizo ni kocha wa viungo

Simba haina kocha atayetusaidia.
Hawa waliopo wanabahatisha
Hilo ni kwa upande wako na wala si vibaya ni vizuri na hata hapo juu nimeuliza kwa member kuwa marekebisho yafanyiwe sehemu zipi? Ili tupate maoni yake.

Lakini hapo tunazungumzia majeruhi kwa wachezaji, sasa hapo visingizio vipo wapi..!
 
Wapi nilipoandika hivyo? Afu mbona ka una vielement vya mchele mchele
Zaidi yako?
IMG_20220826_200500.jpg
 
Hivi hii timu Makundi imeingia vipi? kwenye mpira Kuna mambo ya ajabu sana!!!
Ukicheza na asiejuwa kucheza mpira Huwa unatabia ya kuvuta wanaoweza kufanana na wasioweza.
Iangalie vizuri Simba, jifanye mzuri ufedheheke kwa Simba. Ihefu wanalijuwa hilo
 
Makocha nao ni tatizo
Makocha inawezekana kabisa wana matatizo lakini most of the time tunawaonea bure, mkuu mimi ni simba kabisa lakini angalia jinsi kikosi chetu kilivyo dhaifu, naweza kusema ukitoa kile kikosi cha kwanza ambacho kinaanza kila siku kule benchi hakuna mchezaji ambaye utasema akiingia ataleta matokeo chanya kama timu ikiwaimefungwa au kuzidiwa, remember mechi ya juzi na Singida..., Kikosi ni finyu sana, kocha anakosa options, chama na okra walikosekana juzi singida, unaona kabisa hakuna mbadala wao.
 
Shida ya Simba inaanzia kwa Management
Hao ndo wakulaumiwa kwanza

Barbra, Try Again, Magungu

Hao watu 3 ndo wakubeba lawama.

Kupitia wao ndo tuna kikosi dhaifu, kikosi dhaifu ila kinachoitia timu hasara.

Simba walianzisha mambo ya kutoa 20mil kwa kila mechi, jambo ambalo sio sawa maana wale wachezaji kazi yao ni kucheza na kushinda mechi na si vinginevyo.

Simba imekuwa ikisajili kupitia mtu kuifunga au kupiga chenga nyingi.

Simba yaonekana haina scouts wazuri au mawakala wanaiibia. Mf Banda haifai Simba, ila sababu alikuwa mkopo Ulaya, mawakala wakaamua wapiga simba, nina uhakika Banda analipwa pesa nyingi sana kuliko aoneshacho uwanjani.

Kumuongezea Bocco mkataba wa miaka 2 ilikiwa kosa kubwa sana.

Kuelekea January

Bocco, Banda, Nyoni, Mkude, Kakolanya, Akpan, Okwa, Mwinuke, Gadiel, Kibu, Kyombo

Hawa waondolewe wachezaji wa maana waletwe, ikiwezekana kuvunja benki na kuvamia wachezaji wa timu za Azam.

Wamekuwa wakiwaondoa Makocha wakuu ila wanamuacha mtu mbaya Matola.

Ili Simba iendelee inabidi Management au Benchi la Ufundi na wachezaji waondolewe

Mikataba mipya ya wachezaji iwekwe kipengele cha kutofuzu makundi mishahara inapungua vinginevyo mchezaji avunje mkataba mwenyewe.
Mchezaji asipoperfom vizuri mshahara wake utapunguzwa
 
Mkuu hapa nimekuelewa sana hawa wachezaji sio level kabisa za kucheza simba
 
Kwa hiyo ndo umejipost kabisa kututangazia biashara yako au sio,,, afu hiyo jezi ni fulana kama zilivyo fulani nyingine yoyote anaweza kuvaaa, simba hatuna wa watu wa hivyo huyo ni wewe umeamua kututangazia biashara yako,,, ila kwetu umefeli watu wa simba sie tunamuogopa mungu, labda uwapelekee wala mihogo wenzio
 
Pole kwa maumivu unayo pitia jikaze utazoea tu
 
Afu wakikutana na mtibwa wanacheza chini ya kiwango!!!huwa nauliza hizi timu ndogo zina shida gani????
 
Back
Top Bottom