FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

Onana ndio mchezaji aliyechezewa faulo nyingi kuliko mchezaji yeyote kwenye hii michuano
 
Huyu Saido sijawahi kuona madhara yake kwenye foul, labda kwenye penalty.
 
Miquissone taratibu anarudi, hii michuano itamsaidia sana.
 
Kipindi cha kwanza hakitakiwi kuisha bila Simba kupata bao
 
Kipindi cha kwanza hakitakiwi kuisha bila Simba kupata bao
Haijalishi tupata goli kipindi gani ila makosa makubwa yatakuwa ni kuruhusu Jamuhuri wapate goli kabla yetu, kupaki basi wanaweza kwa kiwango cha juu.
 
Huyu na Morisson hawana tofauti kiakili, tena bora BM3 uwanjani alikuwa serious na kazi yake.
Morrison ana afadhali sana. Ulaya wanachoizidi Africa ni brain ya wachezaji wao. Siku mpira wa kiafrika utakapochezwa na vijana wenye akili za kichwani kiwango cha Div. 1 za point 7-12, wazungu watashika adabu zao. Shida mpira unachezwa failure brains.
 
Haijalishi tupata goli kipindi gani ila makosa makubwa yatakuwa ni kuruhusu Jamuhuri wapate goli kabla yetu, kupaki basi wanaweza kwa kiwango cha juu.
Hizi long pass na penetration pass naiona mipira mingi ikipotea kwa namna hii
 
Morrison ana afadhali sana. Ulaya wanachoizidi Africa ni brain ya wachezaji wao. Siku mpira wautakapochezwa na vijana wenye akili za kichwani kiwango cha Div. 1 za point 7-12, wazungu watashika adabu zao. Shida mpira unachezwa failure brains.
Hilo tatizo sio kwenye mpira tu, yani ikitokea wakawa na utaratibu wa kupima akili za hawa vijana waendesha pikipiki kabla ya kuwapa leseni basi tutakuwa tumezuia ajali nyingi sana, maana nyingi ni matokeo ya akili zilizofeli.

NAUNGA MKONO HOJA YAKO.
 
Back
Top Bottom