Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kutolewa na Jamuhuri kikosi kikiwa kimejaa pro players wa kutosha, yeah ni aibu mno.Itakuwa aibu mnoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutolewa na Jamuhuri kikosi kikiwa kimejaa pro players wa kutosha, yeah ni aibu mno.Itakuwa aibu mnoo
TunashindaHii mechi tushinde
Msalimie mwanangu kiduku hukoSiba guvu moya...
All the way from North Korea.
Amekuwa garasaSimba iachane na Baleke, ana mapepe na hana utulivu. Ni mzigo huyu dogo
Huyu na Morisson hawana tofauti kiakili, tena bora BM3 uwanjani alikuwa serious na kazi yake.Simba iachane na Baleke, ana mapepe na hana utulivu. Ni mzigo huyu dogo
Haijalishi tupata goli kipindi gani ila makosa makubwa yatakuwa ni kuruhusu Jamuhuri wapate goli kabla yetu, kupaki basi wanaweza kwa kiwango cha juu.Kipindi cha kwanza hakitakiwi kuisha bila Simba kupata bao
Morrison ana afadhali sana. Ulaya wanachoizidi Africa ni brain ya wachezaji wao. Siku mpira wa kiafrika utakapochezwa na vijana wenye akili za kichwani kiwango cha Div. 1 za point 7-12, wazungu watashika adabu zao. Shida mpira unachezwa failure brains.Huyu na Morisson hawana tofauti kiakili, tena bora BM3 uwanjani alikuwa serious na kazi yake.
Hizi long pass na penetration pass naiona mipira mingi ikipotea kwa namna hiiHaijalishi tupata goli kipindi gani ila makosa makubwa yatakuwa ni kuruhusu Jamuhuri wapate goli kabla yetu, kupaki basi wanaweza kwa kiwango cha juu.
Hilo tatizo sio kwenye mpira tu, yani ikitokea wakawa na utaratibu wa kupima akili za hawa vijana waendesha pikipiki kabla ya kuwapa leseni basi tutakuwa tumezuia ajali nyingi sana, maana nyingi ni matokeo ya akili zilizofeli.Morrison ana afadhali sana. Ulaya wanachoizidi Africa ni brain ya wachezaji wao. Siku mpira wautakapochezwa na vijana wenye akili za kichwani kiwango cha Div. 1 za point 7-12, wazungu watashika adabu zao. Shida mpira unachezwa failure brains.