FT: Simba SC 1-0 JKT Tanzania | ASFC | Benjamin Mkapa

Waandishi na wachambuzi wa michezo katika nchi zao waliwashangaa Sakho na Banda kuja kucheza ligi ya Tanzania badala ya kwenda Ulaya. Sisi tunawashangaa waliwezaje kutushawishi Simba tukawasajili
Oyaaa ondoa huu upupu ndani hapa..... Yaan SAKHO na BANDA wakacheze ULAYA?? Hao wachezaji Hata AZAM hawapati namba. Ushabiki kama huu ndio unafanya tujione level sawa na AL AHLY wakati hata nusu fainali CCL hatujawahi fika.
 
Leo wameanza wachezaji nane ambao hawakuanza jumamosi. Ubora wenu uko wapi wakati mlikuwa mnapoteza muda ili mechi iishe na kama sio hisani ya marefa wa gsm msingekuwa mnaonekana jukwaani
Huu ndio ushabiki maandazi sasa, yaan kwako wewe siku ile aliyezidiwa ni YANGA?
 
Oyaaa ondoa huu upupu ndani hapa..... Yaan SAKHO na BANDA wakacheze ULAYA?? Hao wachezaji Hata AZAM hawapati namba. Ushabiki kama huu ndio unafanya tujione level sawa na AL AHLY wakati hata nusu fainali CCL hatujawahi fika.
Ni nyie ndo hamjawahi kufika nusu fainali ya CCL sisi tumefika mpaka fainali ya CC .. kwanza mara yenu ya mwisho kufika hatua ya makundi tu, nahisi ulikua bado hujazaliwa [emoji23]
 
Ukiacha ushabiki YANGA wana wachezaji wazuri kuzidi SIMBA. Hata hivyo SIMBA hana first 11. Kama unaijua ipange hapa watu waione, otherwise SIMBA bado hawajui nani acheze na nani akae nje na hii ni kutokana na wachezajo wengi kutokuwa Bora.
Mkuu ebu tuweke ushabiki pembeni, kwa kikundi chenu cha wacheza bolingo cha wakina masele, moloko, tuseme al ahly wametua hapa, mna uwezo hata wa kutoa draw ??.
 
Mkuu ebu tuweke ushabiki pembeni, kwa kikundi chenu cha wacheza bolingo cha wakina masele, moloko, tuseme al ahly wametua hapa, mna uwezo hata wa kutoa draw ??.
Al Ahly wamewahi kucheza na YANGA wakatoka 1-1 home and Away Yanga wakatolewa kwa mikwaju ya penati, Bahanuzi akikosa Penati muhimu sana. Ulikuwa na UMRI GANI.?
Kwa Yanga hii anaweza kuchaza na kushinda kwa Al Ahly ukilinganisha na SIMBA.
 
Labda al ahly ya magomeni.
 
Oyaaa ondoa huu upupu ndani hapa..... Yaan SAKHO na BANDA wakacheze ULAYA?? Hao wachezaji Hata AZAM hawapati namba. Ushabiki kama huu ndio unafanya tujione level sawa na AL AHLY wakati hata nusu fainali CCL hatujawahi fika.
Kwani Banda alikuwa wapi kabla ya kuja Simba?
 
Huwezi kufananisha Al ahly iliyocheza na yanga na current one iliyocheza na Bayern Munich na kupigwa 2 -0.
Unataka kusema kuwa Al ahly iliyomtoa yanga kwa penati ilikuwa ni timu ya kawaida? Unajua Al Ahly ni bingwa wa CAF champions league na hakuanza kuchukua mataji jana wala juzi. Halafu wewe unawaita Al Ahly ya magomeni
 
Yanga ni kikundi tu cha wahuni wachache wanao jaribu kuleta janja janja kwenye mpira ila hamna mpira pale. [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…