DINHO
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 880
- 1,750
Oyaaa ondoa huu upupu ndani hapa..... Yaan SAKHO na BANDA wakacheze ULAYA?? Hao wachezaji Hata AZAM hawapati namba. Ushabiki kama huu ndio unafanya tujione level sawa na AL AHLY wakati hata nusu fainali CCL hatujawahi fika.Waandishi na wachambuzi wa michezo katika nchi zao waliwashangaa Sakho na Banda kuja kucheza ligi ya Tanzania badala ya kwenda Ulaya. Sisi tunawashangaa waliwezaje kutushawishi Simba tukawasajili