FT: Simba SC 1-0 JKT Tanzania | ASFC | Benjamin Mkapa

FT: Simba SC 1-0 JKT Tanzania | ASFC | Benjamin Mkapa

Acha ushabiki maandazi........Man of the match mpaka sasa ni Banda au Sakho niambie ni mchezaji gani ameperform kuliko wao uwanjani .
Dribbles 2 3 ndiyo alikuwa mchezaji bora? Watz ndiyo maana inakuja michezaji tu imejazana wakati haina faida, kisa inajua kukimbia na mpira na kupiga chenga tunavimba mibichwa kidwanzi kama wewe
 
Dribbles 2 3 ndiyo alikuwa mchezaji bora? Watz ndiyo maana inakuja michezaji tu imejazana wakati haina faida, kisa inajua kukimbia na mpira na kupiga chenga tunavimba mibichwa kidwanzi kama wewe
Wewe ni shabiki wa timu gani mkuu ??
 
Dribbles 2 3 ndiyo alikuwa mchezaji bora? Watz ndiyo maana inakuja michezaji tu imejazana wakati haina faida, kisa inajua kukimbia na mpira na kupiga chenga tunavimba mibichwa kidwanzi kama wewe
Hujui chochote kuhusu mpira zaidi ya ushabiki uchwara tu uliokujaa kwenye Fuvu.
 
Oyaaa ondoa huu upupu ndani hapa..... Yaan SAKHO na BANDA wakacheze ULAYA?? Hao wachezaji Hata AZAM hawapati namba. Ushabiki kama huu ndio unafanya tujione level sawa na AL AHLY wakati hata nusu fainali CCL hatujawahi fika.
Kwani BANDA kabla ya kusajiliwa Simba alikuwa anacheza wapi?????
FB_IMG_1639599815449.jpeg
 
Malawi na sio ULAYA, Ulaya alikuwa majaribio hata FARID MUSA amewahi kucheza ULAYA.
mtu kacheza Eufa champions halafu unasema alikuwa kwenye majaribio? Aisee unastahili kuchapwa makofi akili ikukae sawa
 
Peter Banda na Jimisson Mwanuke wapewe nafasi za kucheza mara Kwa mara.
Nimeona kipaji kikubwa ndani yao.
 
Malawi na sio ULAYA, Ulaya alikuwa majaribio hata FARID MUSA amewahi kucheza ULAYA.

Mkuu jifunze kufanya utafiti wa kutosha... peter banda amecheza uefa qualifications stage na timu yake ya fc sherrif... ambayo ilikua kundi moja na madrid na inter milan
 
Back
Top Bottom