Magazeti ya ijumaa na vichwa vya habari
-Singida ya piga kwenye mshono
-Singida wametia chumvi kidonda kibichi walichosababisha Berkane
-Singida yaendeleza machungu kwa Simba
-Fadlu alia na ratiba za mechi,adai wachezaji wake wanafatique
-singida yaisafishia njia Yanga ubingwa bara
-Simba msimu wanahitaji maombi,wadondosha points kmc complex
-Sare waliyoipata Simba,Singida walia na refa, Penalty aliyowazawadia,yawashtua wapenda mpira Tz
-Kwa mbereko hizi za refa,soka letu linasafari ndefu, Simba yaunajisi mpira
-Simba yafa kiume Kmc complex,yapigwa kimoja cha nguruwe
πππππTukutane kwenye magazeti ya ijumaa na ole wenu waandishi mfanye plagiarism kwenye heading zenu bila kufanya acknowledgment ya JEIFU