FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

Mukwala dk ya 7 offside ya 5. 0-0
Dk 17. Simba wanaonekana kuwa na uchovu bado. 0-0
Dk 22 Simba inashindwa kutumia nafasi ya wazi. 0-0
 
SASI ATAKUWA KAONYWA CHEZESHA VIZURI VIONGOZI WA CAF BADO WAPO DAR WENGINE PLS
 
Mukwala dk ya 7 offside ya 5. 0-0
Dk 17. Simba wanaonekana kuwa na uchovu bado. 0-0
Dk 22 Simba inashindwa kutumia nafasi ya wazi. 0-0
Hangover ya fainali ya CAFCC bado ipo tu?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Namuona Nabi uwanjani sijui anamtazama nani.
 
Back
Top Bottom