FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

Kwenye mechi ya leo kama Singida Black Stars hawajanyimwa penati 3 basi ni moja kwani inaonekana dhahiri kwamba refa alipanga Simba lazima waibuke washindi wa hiyo mechi.

Tanzania tuna tatizo kubwa sana la kukosa waamuzi wazuri wa mchezo wa soka, wanapochezesha mechi zinazohusisha timu mbili kubwa za Tanzania dhidi ya vilabu vingine vidogo mara nyingi hawatendi haki kwa vilabu hivyo vidogo.
FB_IMG_1741771581226.jpg
 
Hivi mna nini cha kuogopwa na Yanga??

Yanga wanatetea haki.
Na shabiki yoyote wa ball lazima ataelewa!
Hatuna cha kuwahofia ninyi hata kimoja tena kipindi hichi ambacho quality yenu iko chini sana
Nyinyi wenye quality ya juu mmefika wapi CAF? mmeishia makundi na ligi kuu mna timu 8 mnadhamini uhakika wa point 48 mnao,, timu mbovu , mara ya mwisho kufunga Simba itakua msimu ulioisha kwa kumhonga manula na inonga na timu ilikua Haina ubora ..sasahivi ndio mtakua maana ya ubaya ubwela kenge nyie😂
 
Hivi mna nini cha kuogopwa na Yanga??

Yanga wanatetea haki.
Na shabiki yoyote wa ball lazima ataelewa!
Hatuna cha kuwahofia ninyi hata kimoja tena kipindi hichi ambacho quality yenu iko chini sana
Haki gani hiyo ambayo hadi CAS wameshindwa kuiona?
 
Ndo kwamba nini labda...huko hawachezeshi marefa wa TTF au...
Nyie bana ni mapoyoyo...
Hiyo final mkija tunataka waamuzi wawe
Tatu Malogo
Kefa Kyombo
Jafet Smart
Hery sasi
 
Goli la simba lilikuwa la kuotea waamuzi wakaliacha, sijui kwa nini Mukwala huwa anaotea sana. Halafu penalty tatu za kuwazuia washambuliaji wa Singida zilimezewa
 
Nyinyi wenye quality ya juu mmefika wapi CAF? mmeishia makundi na ligi kuu mna timu 8 mnadhamini uhakika wa point 48 mnao,, timu mbovu , mara ya mwisho kufunga Simba itakua msimu ulioisha kwa kumhonga manula na inonga na timu ilikua Haina ubora ..sasahivi ndio mtakua maana ya ubaya ubwela kenge nyie😂
Felakuti.
Natunza hii
 
Singida imekuwa inatoa wacheazji wake bure kwenda Simba. Naona sasa wanapumlia mashine.

1769547030558.png
 
Back
Top Bottom