Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
Tegemeo lao la mwisho limekatwaBao la leo tamu, mpaka mmelia?!!
Anabaki yeye kama yeye kujisimamia pambav kabisa.
Tegemeo lao la mwisho limekatwaBao la leo tamu, mpaka mmelia?!!
Kunywa maji mkuu ili mwili upoe uandike vizuri.
SIjakuelewaHivi naomba kujua kitu ndugu yangu.
Hivi toka timu zimekua zikiahidiwa Hela kama zikiifunga Simba Kwa msimu huu,je inaweza kua imefika jumla shs ngapi?
Fainali CRDB ni mpaka mechi zote za ligi zitakapoisha. Sasa kaeni chini mjadiliane na muamue, mnacheza 15/06 au hamchezi maana hadi mabasi mlibandika stika.Njoo final ya CRDB confederation cup
Hiyo imeishaFainali CRDB ni mpaka mechi zote za ligi zitakapoisha. Sasa kaeni chini mjadiliane na muamue, mnacheza 15/06 au hamchezi maana hadi mabasi mlibandika stika.
Akili zenu mnazijua wenyewe. Jinsi viongozi wenu watakavyobadili gia angani na nyie vingunguti kuwaunga mkono utadhani siyo nyie mliokuwa mmeshikilia madela yenu mkisema "hatuchezi ng'o"!Hiyo imeisha
Sisi tunawasubiri final
Kweli we mbumbumbuAkili zenu mnazijua wenyewe. Jinsi viongozi wenu watakavyobadili gia angani na nyie vingunguti kuwaunga mkono utadhani siyo nyie mliokuwa mmeshikilia madela yenu mkisema "hatuchezi ng'o"!
Ningekuwa sijui ningesema hapo juu kuwa fainali ni baada ya ligi kuisha na wewe ukanijibu? Au haukumbuki hata ulichosoma dakika 5 zilizopita?Kweli we mbumbumbu
Hujui kama mashindano ya CRDB confederation cup hayajakwisha
Huo ni mpira gani sasa, unatumia sheria ipiKwa huu usen ge , hiyo derby tu refa ahakikishe hakuna penalt wala redcard, Kila mtu apambane, yani asitoe redcard Kwa yoyote yule Wala kumpa penalt yeyote
Msajilini tuuHuyu Jonathan Sowah mbona sioni kama ana kiwango cha kuchezea Yanga
Ligi kwanini isiisheNingekuwa sijui ningesema hapo juu kuwa fainali ni baada ya ligi kuisha na wewe ukanijibu? Au haukumbuki hata ulichosoma dakika 5 zilizopita?
Acha matusi unajidhalilisha wewe na ukoo wakoNyie tarehe 8 mlikimbia getto sasa hivi vsimi ndio vina wawasha au sio?
Hahaha, Ok bossSijakosea mkuu ni shengida au shingida. Punguza povu
Na yanga ingekuwa imeshuka daraja kama sio ule mpango wa gsmKama mechi za Simba marefa wangekua wanachezeasha kwa haki Simba ingekua nafasi ya 4
Timu nyingi zimefanyiwa dhulma uwanjani.
Nahisi Nina mental illness, hii Dunia Kuna vitu viwili navichukia , Simba na Mama Samia , hata sijui kwaniniHuo ni mpira gani sasa, unatumia sheria ipi
Naona hata Simba kufungwa na Yanga ni mpango wa GSM.Na yanga ingekuwa imeshuka daraja kama sio ule mpango wa gsm
Kama inauma chomoa.Kama mechi za Simba marefa wangekua wanachezeasha kwa haki Simba ingekua nafasi ya 4
Timu nyingi zimefanyiwa dhulma uwanjani.
Tegemeo lao la mwisho limekatwa
Anabaki yeye kama yeye kujisimamia pambav kabisa.
Acha matusi unajidhalilisha wewe na ukoo wako