kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,493
- 18,387
Acha ujinga tunacheki ballWewe ulitaka akufanyeje ili ufurahie. Kwani Arajiga huwa anakufanyia nini unafurahi
Acha ujinga tunacheki ballWewe ulitaka akufanyeje ili ufurahie. Kwani Arajiga huwa anakufanyia nini unafurahi
Mkuu tuwe wakweli, wewe unadhani angekua anacheza na yanga angepanga hiki kikosi?Anawapumzisha ili wasipate majeraha wakashindwa kuwauza dirisha kubwa.
Angepanga kikosi cha tatu kuwapa uzoefu.Mkuu tuwe wakweli, wewe unadhani angekua anacheza na yanga angepanga hiki kikosi?
Acha ujinga kujibu usichoulizwa. Nani kakuuliza unacheck ball au bolboloAcha ujinga tunacheki ball
Hahahahaa we jamaa ni noma aisee 😅🤣😂Angepanga kikosi cha tatu kuwapa uzoefu.
Hery Sasi nae mmemjumuisha😂😂😂🤣Makolo huwa wanadhani CAF Kuna warefa washenzi kama akina heri sasii wawabebe mwishowe wanaishia kulia tu.
Hata Mwamposa huwa anatoa maji ya upako yamwagwe kuondoa uchawi.Kuna dogo amemwaga maji kwenye goli la Singida.
Kolo wachawi
Hajaitwa timu ya taifa?Pacome yupo uwanjani.
Huyo ni koloHery Sasi nae mmemjumuisha😂😂😂🤣
HatumtakiAcha aende utopolo tu, huku SBS hatufai
Ameitwa Mpanzu 😂Hajaitwa timu ya taifa?