Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
HahahaMshika kibendera mmoja ni Ke
HahahaMshika kibendera mmoja ni Ke
Hapana, hili kosa liko Wazi mno.Ndio maana Arajiga anawika kimataifa hawa kina Sasiii wataishia KMC
Wewe ulitaka akufanyeje ili ufurahie. Kwani Arajiga huwa anakufanyia nini unafurahiNdio maana Arajiga anawika kimataifa hawa kina Sasiii wataishia KMC
Huyu Sowah mbna kama nitapel wampira
Natamani Pacome apigwe buti ya mdomo halafu Refa asitoe redcard😎Kwa huu usen ge , hiyo derby tu refa ahakikishe hakuna penalt wala redcard, Kila mtu apambane, yani asitoe redcard Kwa yoyote yule Wala kumpa penalt yeyote
Kulikoni tena Hatuchezi FC😂😂😂🤣Kwa huu usen ge , hiyo derby tu refa ahakikishe hakuna penalt wala redcard, Kila mtu apambane, yani asitoe redcard Kwa yoyote yule Wala kumpa penalt yeyote
Si tumekubaliana kwamba zisiwepo penati?REFA AMEWANYIMA PENAT SINGIDA
NI MAKOSA YA KIBINADAMU KAMA YA REFA WA FAINALI YA CAF SHIRIKISHO !!
Refa falaKulikoni tena Hatuchezi FC😂😂😂🤣
#MTACHEZA TU
Acha aende utopolo tu, huku SBS hatufaiHuyu Sowah mbna kama nitapel wampira
Anawapumzisha ili wasipate majeraha wakashindwa kuwauza dirisha kubwa.Leo amepanga full kikosi mbongo mmoja tu, sasa subiri acheze na yanga uone kikosi....
Tumekubaliana refa akitoa penati huyo amenunuliwa.Refa fala