The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 855
- 1,454
Wamewekwaa
Amina miuonSimba akishinda MNIITE Amina miuon
Labda ya kabatiHii ngoma itaisha draw
Ile ya kimataifaMbona ile ya BERKANE hakuwepo?
Ndio ni penatiMlioko kwenye tv mnaonaje?
Ni penati?
Hapa uwanjani hatuna review
Si umeona hapo?Mbona ile ya BERKANE hakuwepo?
Ndio maana Arajiga anawika kimataifa hawa kina Sasiii wataishia KMCHAKUNA PENATI
NI MAKOSA YA KIBINADAMU KAMA YA REFA WA FAINALI YA CAF SHIRIKISHO !!
Mshika kibendera mmoja ni KeJinsia Me. Tafuta jingine mkuu.