FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

Two clear penalties were denief to Singida Black Stars by the referee and his two assistants! Simba were wasting time like Arabs!
Why don't you speak over poor Sowah striking??
Streka wa ball unashindwaje kufunga pale? Unajiangusha ili iwe penati.
 
Hivi mna nini cha kuogopwa na Yanga??

Yanga wanatetea haki.
Na shabiki yoyote wa ball lazima ataelewa!
Hatuna cha kuwahofia ninyi hata kimoja tena kipindi hichi ambacho quality yenu iko chini sana
Haki mbona hamuioni wakati timu yenu inapocheza na wenye udhamini wa gsm? Haki mbona hukuiongelea wkt SBS walipochezesha kikosi cha pili dhidi yenu?
 
Back
Top Bottom