FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

UNazungumiza Historia Mzee!
Unasahau Hata kwenye Historia pia Dollar Ilikuwa inafanana na Tsh zamani?
Unasahau hata US Dollar 1 iliwahi kuwa sana na Tsh 1..
Vipi kuhusu Sasa Hivi..

Tuzungimzie Yaliyopo Sasa Hivi acha Kubweka Leta Timu hiyo tarehe 15
Sasa Mbona juzi tu hapo tarehe 8 ulikimbia Getto mrembo?Au sasa hivi ndio ki antenna kina washa?
 
UNazungumiza Historia Mzee!
Unasahau Hata kwenye Historia pia Dollar Ilikuwa inafanana na Tsh zamani?
Unasahau hata US Dollar 1 iliwahi kuwa sana na Tsh 1..
Vipi kuhusu Sasa Hivi..

Tuzungimzie Yaliyopo Sasa Hivi acha Kubweka Leta Timu hiyo tarehe 15
Teh 😃 😃 😃 wamesahau Mnyama ni 'second runner ' wa Cafcc siku chache tu zilizopita ila ni ndani ya huu msimu.
 
Na tarehe 31 tunashinda bado mtasema bahati

Na tarehe 15 June lazima tushinde, iwe ni mezani kwa TPBL au Uwanjani. Nayo muite ni bahati vyura nyie
Tunawataka final
 
Back
Top Bottom