FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

Camara kila baada ya dakika 5 chaliii...
Una goli moja unapoteza muda?
 
Huyu Pokuo hastahili kukaa kule porini kwa wachunga ngo'mbe, hii ni mali haswa
 
ft 2-0/1-0
alldbest

cc
kayombooo
kariaaa
mgutto
Binafsinnawatamani mnwaa hawaa yaan waishie hapo ama waongeze goli nije kuwanyoa kama berkane alivyowanyonya...

cc
mgutto
cc
kayombooo
 
Yanga amekufunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
Kwanini ulikimbia gest tarehe 8 March na chupi mkononi
UNazungumiza Historia Mzee!
Unasahau Hata kwenye Historia pia Dollar Ilikuwa inafanana na Tsh zamani?
Unasahau hata US Dollar 1 iliwahi kuwa sana na Tsh 1..
Vipi kuhusu Sasa Hivi..

Tuzungimzie Yaliyopo Sasa Hivi acha Kubweka Leta Timu hiyo tarehe 15
 
Back
Top Bottom