FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Sijui sana mbinu za mpira ila Kwa dakika nilizoangalia nadhani mmoja kati ya Ntibanzonkiza na sakho angeanzia bench, ningekuwa Robatinho ningeanza na Ntibanzonkiza
Kabisa..
Cjaona tactics zao...
Na kama utaona , ingizo la SAIDO Mapishi ya CHAMA.
Huoni Saidoo akipika pasi kwa Phiri nk
 
Back
Top Bottom