Nakutakia ushindiNipo nachungulia mdogo mdogo mtani
Ushaniona mm muoga? Sinaga hyo jadi...kuna kitu nafanya then nitakuwa full humu...ila nakideoni nimeweka on nasikilizia kwa mbaliAcha uoga mkuu
00:00Niko safarini wakuu tupeane updates
Thanx rafikiNakutakia ushindi
Habari wa kwetu!Thanx rafiki
Njeimaaa weituuuHabari wa kwetu!
Anaweza akashinda mechi zote za kundiRaja kaishatupigia mtu
Nawewe unasua sua tu hapa TaifaRaja kaishatupigia mtu
Scars Nani amekosa I mean mchezajiTumewakosa
Kabisa..Sijui sana mbinu za mpira ila Kwa dakika nilizoangalia nadhani mmoja kati ya Ntibanzonkiza na sakho angeanzia bench, ningekuwa Robatinho ningeanza na Ntibanzonkiza