FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Kajitahidi kuucheza ule mpira ambao ulikuwa unataka kutoka nje
 
Yanga mwakani wajitahidi kuingia Makundi CAF aisee, sio haya mashindano ya chekechea
Kwani Yanga inashiriki makundi ya TFF?

Kama ni chekechea huko ndio tujitahidi kuchukuwa ubingwa siku moja kabla ya kuwaza champions league.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…