Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #421
59' Sakho anaenda nje na Peter Banda akichukua nafasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida siyo kuwa na uzalendo mtani... uzalendo ninao sema simba siipendi kama Man U so siwezi kabisa kuishabikia.Huyo Bantu Lady hanaga uzalendo besty bora kumkazia na yeye kesho
Banda,iko poa ili kasi iongezekeSakho anatoka anaingia nani sijui huyu
[emoji15][emoji15]makubwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sakho anatoka anaingia nani sijui huyu
[emoji23] Namjaza tu hivi huoni anavyotuombea mabaya kila sikuHuyo Bantu Lady hanaga uzalendo besty bora kumkazia na yeye kesho
Utopolo wa Singida BS wamemrudisha nyuma sanaBanda
Dah team zangu zote mbili hizoShida siyo kuwa na uzalendo mtani... uzalendo ninao sema simba siipendi kama Man U so siwezi kabisa kuishabikia.
Hawarudishi, litabaki hilo hilo, au tuongeze nao wafunge moja, waambie wachague option waipendayo ..Nina hakila Vipers watarudisha, wasiporudisha hawafungwi tena. Itabaki hilo moja.
Kwani Yanga inashiriki makundi ya TFF?Yanga mwakani wajitahidi kuingia Makundi CAF aisee, sio haya mashindano ya chekechea