FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Usiamke lala hivyo hivyo hawa wehu tutahakikisha tunawachukulia point 3 kwa namna nyingi
 
Simba kuiamini ni asilimia ndogo sana, kila mara anakoswa koswa, kama tungekuwa kama Raja aaaah hizi pressure zisingetusumbua
 
Huyo kocha wenu kwanini haongezi kiungo ????haya kuna kitu anatafta
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…