Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Mungu aepushie mbaliWasije chomoa hawa viumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu aepushie mbaliWasije chomoa hawa viumbe
20BLeo mnavuna milioni ngapi za mama?
Zishafika kumi sasaLeo mnavuna milioni ngapi za mama?
Hahaha hajapta leoKanoute anataka amalize mpira bila kadi leo
Bora hata ww unaongea mpiraSimba wanahitaji reformation kubwa sana kwenye kikosi chake, huoni time ikifanya build up. Ni papatu papatu
Ndio sababu ya kukuuliza muda ule kama kuna kadi zimetolewaKanoute anataka amalize mpira bila kadi leo
Wanalinda ushindi kwa kumiliki mpiraSimba wamekata pumzi