Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Nilifikiri huoni bora hata kaka zake..hahah[emoji23] Namjaza tu hivi huoni anavyotuombea mabaya kila siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilifikiri huoni bora hata kaka zake..hahah[emoji23] Namjaza tu hivi huoni anavyotuombea mabaya kila siku
Kama unaingia wewe uwanjani kucheza badala yao ni sawa.Nina hakila Vipers watarudisha, wasiporudisha hawafungwi tena. Itabaki hilo moja.
Usiseme offside sema kibendera kaamua kuwa ni offside wakati haikuwa hivyoUkimya Ulitawala Hapa Kidogo Baada Ya Hili Goli Kuingia, Washukuru Ni Offside [emoji23][emoji23][emoji23]
Bado moja .. watusafishie ubao wetu tukae pale juu vizuri kbs..Dakk ya 62
Horoya 0-3 Raja
Hata huo pia ni ushindi kuombea mbaya wako ashindwe akishindwa ni ushindi kama ww utavyopata ushindi tukishindwaKuonyesha timu yeni ni dhaifu, mnasubiria wenzenu Horoya wafungwe huko. Mnafurahia mpite kimdebwedo!!!!
Unateseka sana😂😂Kuonyesha timu yeni ni dhaifu, mnasubiria wenzenu Horoya wafungwe huko. Mnafurahia mpite kimdebwedo!!!!
Kapiga bao 3 na wako pungufuRaja wanaua huko, Simba sijui tunasubiri nini hapa.
Hii kitu ya kutegemea matokeo ya timu nyingine ipo dunia nzima, ndo maana mechi za mwisho hupangwa muda mmoja ili kuepuka kupanga matokeoKuonyesha timu yeni ni dhaifu, mnasubiria wenzenu Horoya wafungwe huko. Mnafurahia mpite kimdebwedo!!!!
Ila Raja hii wanayofanya ni dharau kwa wengine🫣🫣🫣As it standsView attachment 2540933
Ndio mpira ulivyo hata worldcup ilikuwa hivyoKuonyesha timu yeni ni dhaifu, mnasubiria wenzenu Horoya wafungwe huko. Mnafurahia mpite kimdebwedo!!!!
Wewe ni Gemini mwenzangu, sina neno zaidi...Kama unaingia wewe uwanjani kucheza badala yao ni sawa.
🤣🤣🤣Yanga hata kufunzu hana uwezo akijaribu yatageuka ya Man utd na LiverpoolHawa Raja hawa wangekutana na Uto wangewaua walai
Nenda kashike weweUsiseme offside sema kibendera kaamua kuwa ni offside wakati haikuwa hivyo
Liko uchi kabisa. Raja ni daraja la peke yake ukilinganisha na hao wengine.Ila Raja hii wanayofanya ni dharau kwa wengine🫣🫣🫣