Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kabisa maana kucheza nq Simba ni CVMechi yetu hakuna kitu anachokipata zaidi ya sifa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa maana kucheza nq Simba ni CVMechi yetu hakuna kitu anachokipata zaidi ya sifa tu
Usihuzunike mkuu, Horoya hawawezi kusawazisha, mziki upo kwa Simba wasipoongeza goli kuna hatari ya kusawazishwa[emoji17][emoji17]
Mbona una haraka sana?Hivi Simba inabyocheza inaweza mfunga horoya?
AmebongekaPhiri hajawa fit waanze kumchezesha mechi za NBC mfululizo
Vipers wanaonewa sana hizi mbumbumbu zimehonga refarii
Mambo ya kuumwa hayo unajilia tuu mavyakulaAmebongeka