denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Hawamlishi inavyotakiwa, Chama anatokea pembeni..Phiri hajawa fit waanze kumchezesha mechi za NBC mfululizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawamlishi inavyotakiwa, Chama anatokea pembeni..Phiri hajawa fit waanze kumchezesha mechi za NBC mfululizo
Aaah sasa tuwafungee..Aaah tumewakosa
Hana adabuHawa Raja watafutiwe kundi jingine tu.yaani wenzake wanahangaika huku chini yeye anakula tu upepo juu.
Acha masihara banaDuh 1:1
Acha masihara bana
Hii ni ya bagamoyo au sumbawanga?Duh 1:1
Vipi wamechomoa hyo kona? Maana sina hali ya kuweza kuangalia tenaVipers wanapata kona hapa
Shambulizi limeokolewa na mpira haupo wenye eneo la hatariVipi wamechomoa hyo kona? Maana sina hali ya kuweza kuangalia tena
Vipi wamechomoa hyo kona? Maana sina hali ya kuweza kuangalia tena
Vipi wamechomoa hyo kona? Maana sina hali ya kuweza kuangalia tena
Angalia usijikojolee kitandaniDuh 1:1