FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Msije shangaa hii Simba inafika nusu fainali, tunaingia robo kwa kuunga unga, tunapangwa na mtu anakuja kwa Mkapa anakula nyingi, kwake anashindwa kuchomoa mnyama yule ...
Unafika vipi nusu fainali bila kupita robo fainali?
 
Weshinda ila kocha matako yake,saido alikuwa wa kwenda nje mapema sana coz jamaa walikuwa wengi kati kati
 
Back
Top Bottom