SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Ukipata muda, katazame wale wanaoongoza makundi yao alafu uje hapa useme ni nani kati yao, hata mmoja tu, utamfunga goli nyingi.Msije shangaa hii Simba inafika nusu fainali, tunaingia robo kwa kuunga unga, tunapangwa na mtu anakuja kwa Mkapa anakula nyingi, kwake anashindwa kuchomoa mnyama yule ...