Uyu fred ndio tuliambiwa anafunga magoli hata akiwa jukwaani?
Mnyama amekoswa goli mbili za waziKuna kelele nini huko.
Yeye utamuona kwa wakina Tabora United na Coastal UnionChama huwezi kumuona kwenye mechi kama hizi
Rafiki bado kiduchu wafungwe lingine. ππ
DUBEEEEEEEEEEEEGoli alilofunga Dube ilikua ni clear offside ....aliyetoa assist kwa Dube alikua kwenye eneo la kuotea wakati anapokea pasi kabla ya kutoa assist
Yafungwe tuu.Rafiki bado kiduchu wafungwe lingine. ππ