FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Simba tumsajiri tu huyo Prince Dube.
Kachukua point zetu zote sita msimu huu.
Yani umsajili tu kwasababu kakufunga???

Malengo ya Club kumbe ni kuifunga Azam mi sikuwa najua
 
Reactions: Tsh
Mzee bakhresa ni mwana makolo na mtoto wake ni makolo au mwananchi ?
 
Bora kufungwa na Azam kuliko wachawi vitaulo FC walai....
 
Kwenye mbio za ubingwa Simba anamloga YANGA na YANGA anamloga Simba wakidhani kuwa wao ndio wapinzani wa ubingwa mwaka huu, kumbe wanatengeneza njia nyeuuupe kwa AZAM ambaye ndiye bingwa wa mwaka huu
 
GENTA anapiga mkwaju moja wa moto hatari pale goooool
 
Nyie Simba acheni utani na pesa zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…