FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Bora kufungwa na Azam kuliko wachawi vitaulo FC walai....
Mpaka wachezaji wao wanaamini katika uchawi,jana niliona mchezaji mmoja anatoka kwenye benchi anakimbia kwenda kukitoa kitaulo cha mlinda mlango wa Mashujaa.
 
Hii ndo timu inayopewa matumaini ya kufuzu hatua ya robo ya makundi CAF, mniite mbwaaaa, nipo nimekaa pale.
 
Kwenye mbio za ubingwa Simba anamloga YANGA na YANGA anamloga Simba wakidhani kuwa wao ndio wapinzani wa ubingwa mwaka huu, kumbe wanatengeneza njia nyeuuupe kwa AZAM ambaye ndiye bingwa wa mwaka huu
Avagadro laws, principles and constants leo hazi-apply. Pole kwa kipigo, sisi YANGA tunaona ligi bado sana
 
Licha ya kuroga wiki nzima ila uchawi haijafua dafu. Azam tunyoosheeni hawa umbwa.
 
Back
Top Bottom