FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Ni kawaida kwa timu ndogo kufunga timu kubwa, ila haiwi timu kubwa baada ya kuifunga timu kubwa.

Wale mashabiki wa timu ndogo endeleeni kupiga kelele zenu 😁
 
Ametoka kijana Israel Mwend ameingia mzee Shomar Kapombe.

Benchika atuachie timu yetu.
Pereperee nyingiiii. Chura ni chura tu. Mikelele.
 
Mpaka wachezaji wao wanaamini katika uchawi,jana niliona mchezaji mmoja anatoka kwenye benchi anakimbia kwenda kukitoa kitaulo cha mlinda mlango wa Mashujaa.
Siku hz wamekuwa walozi wa level za juu
 
Kayoko leo amenyooka, naona hajapewa bahasha na mo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…