FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Simba Wameiogopa Hii Mechi Hadi Kupeleka Uwanja Wa Kirumba Mwanza.

Simba Hawezi Kutoboa Akipambana Sana Anatoa Sare.

Simba Kaonesha Uoga Mapema Sana Hivyo Hata Kwenye Mechi Ya Leo Hatofanya Maajabu.


FT
Simba 1 - 2 Azam
Huenda mechi ikaisha hivi
 
Angalia replay ya goli...wakati mpira unapigwa kutoka kwa beki kwenda kwa winga aliyetoa assist ya goli.....winga alikua clear offside
Pamba...fuuuu!
Mbona kagoli kenyewe kamoja tu kwani mimba tayari?
 
Timu ya Kifaraa hiii,unatema Baleke unasajili Boccoo.Hahaahaaa! Upuzi wapo Thimba!
 
Wachezaji wawili wa azam wanatarajia kuingia, mmoja amewahi kucheza na Messi, mwingine aliwahi kucheza na Mbappe.

kazi ipo kwa Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…