ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Vita ya msindi wa pili ni ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo offside inaonekana kwenye TV yako tu
Angalia replay ya goli...wakati mpira unapigwa kutoka kwa beki kwenda kwa winga aliyetoa assist ya goli.....winga alikua clear offside
Huenda mechi ikaisha hiviSimba Wameiogopa Hii Mechi Hadi Kupeleka Uwanja Wa Kirumba Mwanza.
Simba Hawezi Kutoboa Akipambana Sana Anatoa Sare.
Simba Kaonesha Uoga Mapema Sana Hivyo Hata Kwenye Mechi Ya Leo Hatofanya Maajabu.
FT
Simba 1 - 2 Azam
Kuna watu hivo tu ulivyo comment wao wanaumiaMpira uishe watu tuna mambo mengi siku ya kazi hii 🤣🤣
Kwani wewe shabiki wa timu gani?Bora Kombe achukue AZAM hata aiumi ila sio simba
Simba wateseke tu
Pamba...fuuuu!Angalia replay ya goli...wakati mpira unapigwa kutoka kwa beki kwenda kwa winga aliyetoa assist ya goli.....winga alikua clear offside
Acha ujinga basiGOOOOOOOOOLLL
GOOOOOOOOOLLL
GOOOOOOOOOLLL
SIMBA WANAPATA GOAAAAAL
AAAH UTANI BANAAAA[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
[emoji81] mna itikia kama ma zombie eti kweliii kweliiKwelii etiiView attachment 2898780