FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Hiyo offside inaonekana kwenye TV yako tu

Angalia replay ya goli...wakati mpira unapigwa kutoka kwa beki kwenda kwa winga aliyetoa assist ya goli.....winga alikua clear offside

Kwelii etii
Screenshot_20240209-171231_1.jpg
 
Angalia replay ya goli...wakati mpira unapigwa kutoka kwa beki kwenda kwa winga aliyetoa assist ya goli.....winga alikua clear offside
Pamba...fuuuu!
Mbona kagoli kenyewe kamoja tu kwani mimba tayari?
 
Timu ya Kifaraa hiii,unatema Baleke unasajili Boccoo.Hahaahaaa! Upuzi wapo Thimba!
 
Wachezaji wawili wa azam wanatarajia kuingia, mmoja amewahi kucheza na Messi, mwingine aliwahi kucheza na Mbappe.

kazi ipo kwa Simba.
 
Back
Top Bottom