FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Mkuu usiwadharau hivo,hawa wachezaji wetu pia kisaikolojia ile 5 inaweza ikawa imewaharibu
Sidhani. Nadhani tatizo lipo kwenye kikosi kutokuwa na alternative. Kati pale kama ushajua namna ya kuwadhibiti saidoo, Chama na beki anayepanda kupitia wing shomari basi nafasi ya ushindi ipo.
 
Back
Top Bottom