makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mkuu haujaendelea kutoa updates. Kulikoni?Match Day!
Simba SC Vs Namungo FC
β 04:00pm
ποΈ Uhuru Stadium.
Namungo anakutana na mnyama aliyejeruhiwa.
View attachment 2808770
Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Namungo
View attachment 2808804
Kikosi cha Namungo Kinachoanza
All the Best Simba.
#Nguvumoja#
Mchezo umeanza
10' Simba wanaonekana kuwa na presha ya kutafuta matokeo
20' Presha ni kubwa kwa Simba ambao wanaonena kukosa utulivu wanaposhambulia
29' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Reliants Lusajo anaipatia Namungo goli la kwanza baada ya walinzi kudhani ameotea, anamchambua kipa
34' Bado mambo ni magumu kwa Simba
Tuchanganyikiwe mara ngapi?Kibu gani Mzee..... Mtachanganyikiwa
Na ww uchague cha kumpa unacho ila umekikaliaKapewa helaa
Wale wa GGBaleke Goal
Maiti imepiga chafya huko Dasalama etMatch Day!
Simba SC Vs Namungo FC
β 04:00pm
ποΈ Uhuru Stadium.
Namungo anakutana na mnyama aliyejeruhiwa.
View attachment 2808770
Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Namungo
View attachment 2808804
Kikosi cha Namungo Kinachoanza
All the Best Simba.
#Nguvumoja#
Mchezo umeanza
10' Simba wanaonekana kuwa na presha ya kutafuta matokeo
20' Presha ni kubwa kwa Simba ambao wanaonena kukosa utulivu wanaposhambulia
29' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Reliants Lusajo anaipatia Namungo goli la kwanza baada ya walinzi kudhani ameotea, anamchambua kipa
34' Bado mambo ni magumu kwa Simba
Umeona sasa?? Anaongeza la pilSimba waahakata π₯