FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Match Day!

Simba SC Vs Namungo FC
⌚ 04:00pm
🏟️ Uhuru Stadium.

Namungo anakutana na mnyama aliyejeruhiwa.

View attachment 2808770
Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Namungo

View attachment 2808804
Kikosi cha Namungo Kinachoanza

All the Best Simba.
#Nguvumoja#

Mchezo umeanza
10' Simba wanaonekana kuwa na presha ya kutafuta matokeo
20' Presha ni kubwa kwa Simba ambao wanaonena kukosa utulivu wanaposhambulia
29' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Reliants Lusajo anaipatia Namungo goli la kwanza baada ya walinzi kudhani ameotea, anamchambua kipa
34' Bado mambo ni magumu kwa Simba
Mkuu haujaendelea kutoa updates. Kulikoni?
 
Baleke Goal
Wale wa GG
Screenshot_20231109-173349_AiScore.jpg
 
Wale wakulungwa makolo siwaoni kabisa tatizo nin[emoji23][emoji23][emoji23]

Hata hatuwaoni leo kuja kutuambia tunafuata nin katika nyuzi yao
 
Match Day!

Simba SC Vs Namungo FC
⌚ 04:00pm
🏟️ Uhuru Stadium.

Namungo anakutana na mnyama aliyejeruhiwa.

View attachment 2808770
Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Namungo

View attachment 2808804
Kikosi cha Namungo Kinachoanza

All the Best Simba.
#Nguvumoja#

Mchezo umeanza
10' Simba wanaonekana kuwa na presha ya kutafuta matokeo
20' Presha ni kubwa kwa Simba ambao wanaonena kukosa utulivu wanaposhambulia
29' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Reliants Lusajo anaipatia Namungo goli la kwanza baada ya walinzi kudhani ameotea, anamchambua kipa
34' Bado mambo ni magumu kwa Simba
Maiti imepiga chafya huko Dasalama et
 
Back
Top Bottom