joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Tangulia kwa miguu wacha mpira uendelee..Refa maliza mpira wengine tunakaa Mapinga
Simba tumejitahid sana Leo tunapata point 1.Simba ongeza goli moja hapooo
Wanakuja kushangilia point moja. 😅Soon wenye uzi wao wataibuka na majigambo
Nakaziaaaaaaaa 😁Refa maliza mpira wengine tunakaa Mapinga
Nakaziaaaaaaaa 😁Refa maliza mpira wengine tunakaa Mapinga
Nataka pointi 3Simba tumejitahid sana Leo tunapata point 1.
Huwa hawafikiri kabla ya kusemaNa leo watasema Namungo kahonga pesa, wakati huohuoa analaumiwa Matola kakosea kupanga kikosi
Vp mkuu?Duh kazi ipo
Asije refa akatoa penati kwa makoloRefa maliza mpira wengine tunakaa Mapinga