FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Hii CL ndio naisubiri kwa hamu sana, mkalegezwe na wale waarabu wawili mliopangiwa hili wenge mlilonalo sasa likate, af mrudi kwenye ligi na kizunguzungu round ya pili
Haiwezekani wale wenyewe waarabu wanaogopa kucheza na yanga
 
Yaani Yanga leo hii mchanga kwa Simba,umezaliwa lini,Yanga anaongoza kwa ubingwa,kukufunga mechi nyingi na magoli mengi kuliko timu yoyote Dunia leo hii unasema mchana? Kweli kipigo cha goli tano kimewalevya.
Yanga nilimgonga 6-0 mpaka leo hajawahi kuzirudisha..

Juzi tu hapo nikamgonga 5-0 mpaka leo hajawahi kugusa hiyo rekodi..

Utopolo wachanga tu kwa mnyama taka usitake, mnasumbuliwa na wenge tu kwa sasa
 
Ndo hivyo mtuache jaribu tena baadae....
Pilipili usoila yakuwashia nini??
 
Yanga nilimgonga 6-0 mpaka leo hajawahi kuzirudisha..

Juzi tu hapo nikamgonga 5-0 mpaka leo hajawahi kugusa hiyo rekodi..

Utopolo wachanga tu kwa mnyama taka usitake, mnasumbuliwa na wenge tu kwa sasa
Umesahau na zile 4 kama.mara mbili hivi...
Watuache tuu wapambane wakanywe supu yao ya vibudu jpili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…