FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

Booko kaingia na hirizi zao mm najiulizaga huyu babu kw nn hawamuachi kumbe ndo mbebaa power Bank za timu
 
Makolo wampigia simu waziri mkuu

"Mzee tuna hali mbaya tusaidie"

Waziri mkuu " hata miki naumia vijana wangu ila msijali goli litarudi na mtaongeza lingine, nawaahidi mtashinda"
 
Back
Top Bottom