Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
🤣🤣🤣🤣Wanakuja kushangilia point moja. 😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Wanakuja kushangilia point moja. 😅
Kiujumla Simba haina mshambuliaji wa kati wa kutegemewa kiuhakika. Tutalaumu kila kocha!!Kihaki, phiri si mchezaji wa kuanzia benchi simba bora phiri mwenye mguu mmoja kuliko boko mwenye miguu miwili.. 😂🤣
Nini mkuu?
Namungo walipoteza sana mudaAaahaaaa
Zote za nini hizo?
Ayubu nusu achomeNini mkuu?
Ha ha haWenyewe walikuwa wanajiita wakimataifa,sijui giant sijui wakubwa
Angechomesha kabisa ndo ingekuwa poaAyubu nusu achome
Wamefanyaje?Safi Namungo
Kigamboni wanatisha sanaKambi ya Uturuki vs Kigamboni
Usijali mkuu, droo inawatosha Simba.Timu ndogo ni ndogo tu, wajinga wakubwa hawa Namungo.