Ulitaka aache?Free Kick nje kidogo ya 18.
Anapiga Chama kipa anadaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka aache?Free Kick nje kidogo ya 18.
Anapiga Chama kipa anadaka
Naunga mkono hojaMwenye namba ya kipa wa Tanzania Prisons aweke humu tutume miamala.
Monatapatapa!View attachment 2925763
Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo.
View attachment 2926137
Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo.
View attachment 2926220
Updates
Dakika ya 45+3
Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula.
HT
Simba 0-1 Tz Prisons.
Kipindi cha Pili Simba wanafanya Mabadiliko.
Mzamiru Out
Saido Inn
Kibu D Out
Chasambi Inn
Freddy Out
Pa Omari Jobe Inn
#nguvumoja#
Akitokea mangungu kwenye media tu ujue ni gundu kwa simbaAisee huna imani?
au kwasababu umetolewa?
CHASAMBI tunataka goli.View attachment 2925763
Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo.
View attachment 2926137
Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo.
View attachment 2926220
Updates
Dakika ya 45+3
Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula.
HT
Simba 0-1 Tz Prisons.
Kipindi cha Pili Simba wanafanya Mabadiliko.
Mzamiru Out
Saido Inn
Kibu D Out
Chasambi Inn
Freddy Out
Pa Omari Jobe Inn
#nguvumoja#
Ngoja tuoneHii tutashinda
Nina ACC moja tangu nijiunge hapa JFNa wewe una acc 22 kama Laban og?
Labda watapata kagoli dakika za mwisho kama kawaida yao!Ngoja tuone
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee huna imani?
au kwasababu umetolewa?
Hakika [emoji81]Huu ndio uwezo halisi wa simba
Mkuu naona unaweka akiba ya maneno. 🤣🤣Watarudisha hili