FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Nimeanza kuamini simba ndio timu pekee Tanzania isiyotumia uchawi, mechi za kimataifa ambazo hakuna Uchawi wanacheza vizuri na wanapata matokeo kulingana na walivyocheza ila mechi za ndani hata hauelewi inakuwakuwaje, yani ni mauzauza tu haiwezekani timu iweze kuifunga wydad halafu ishindwe kuifunga prisons shida siyo kikosi lazima tu kuna namna hapa
 
Huyu kocha naye anaanza kutuumiza akili, tulishapoteza imani na Manula ametucost sana, halafu mbinu zake kama zimeshafeli huyu kocha.
 
Bakar SARR..
Apumzike aingie Micquson
 
Huna akili
 
Usichokijua Prison wapo vizuri Sana sema hufatilii Tu mpira
 
Achana na hizo imani,tusijifiche kwenye kimvuli cha uchawi kama uwezo mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…