Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngumu Sana labda mpate moja la kufutia machoziTunachomoa hizi
Iwe kavu au iwe 6-2 sasaHawa tuwaonee huruma kidogo wale walau 4 kavu
Aisee...Ukiachana na mapenzi, hakuna raha nyingine nnayopata kama kuona Simba akipata matokeo mabaya.
😁🤣😂😂Mpaka sasa ni mbili bila, mbili kibuyu, mbili karai yaani mbili sifuri. 😂😂😂
Hao Wydad kwenye ligi yao hua hawafungwi au ni akili hunaNimeanza kuamini simba ndio timu pekee Tanzania isiyotumia uchawi, mechi za kimataifa ambazo hakuna uchawi wanacheza vizuri na wanapata matokeo kulingana na walivyocheza ila mechi za ndani hata hauelewi inakuwakuwaje.
Yaani ni mauzauza tu haiwezekani timu iweze kuifunga wydad halafu ishindwe kuifunga prisons shida siyo kikosi lazima tu kuna namna hapa.
😂 usijali pacha.Muda wa pole bado twinnie
Mnachomoa nini?Tunachomoa hizi
mbovu hadi viongozi wake.Hakuna kukamiwa,Simba mbovu
Manula ametuharibia sana game nyingiManura ni takataka hafai kuanza golini