FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

Nimeanza kuamini simba ndio timu pekee Tanzania isiyotumia uchawi, mechi za kimataifa ambazo hakuna uchawi wanacheza vizuri na wanapata matokeo kulingana na walivyocheza ila mechi za ndani hata hauelewi inakuwakuwaje.

Yaani ni mauzauza tu haiwezekani timu iweze kuifunga wydad halafu ishindwe kuifunga prisons shida siyo kikosi lazima tu kuna namna hapa.
Hao Wydad kwenye ligi yao hua hawafungwi au ni akili huna
 
Simba SC wazee wa kuwekeza CAF CL QF kuitafuta semi final...

Hao Prison na mabuti yao wasije sababisha majeruhi..

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom